MSHINDI WA WIKI YA 7 PROMOSHENI YA WAJIFTISHE GIFT JUU YA GIFT , AKABIDHIWA PIKIPIKI

 Mwandishi Wetu. Ikiwa ni takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa tangu kuzinduliwa kwa Promosheni  ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa  na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Aisha Bakari Hill ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE  GIFT JUU YA GIFT” akiwa ni